Lowella Wake na Loweza za Wessley

Mapenzi ni kama kio, analolifanya na kukupa mpenzi wako unaliona. Swala la penzi lazungusha wanaume wengi na sononeko kwenye ‘duara hili la maisha’, mapenzi yanarun dunia sio siri, ilhali sii kwa urongo kuwa unayempenda hakupendi mwenzio, labda kapenda mwingine kisirisiri. Kinacho sikitisha ni kuwa, baadaye – baada ya kumpa mpezio upendo wa dhati bila ‘kumdharalisha na mwanadada mwingine’ wala kutompa heshima visivyo kwenye aushi ya haya mapenzi, aja kukuoyesha mwishowe kwa ringo kuwa anampenda kwa dhati anayempenda ila sio wewe uliye dhania kapendwa tele kweli-kweli.Ajuae upendo ni yule aliyependwa na mmoja wakati wengi wote walimdharau, Akidharauliwa basi na huyo mmoja, mambo yote karibu huwa yaja kusambaratika kutoka pembe zote za maisha kisha yubaki yumo pekee yake duniani. Maulana pekee ndiye Aweza ‘kumwokoa heri’.

1146341520

22.0 In Stock
Lowella Wake na Loweza za Wessley

Lowella Wake na Loweza za Wessley

by Kent James Migwi
Lowella Wake na Loweza za Wessley

Lowella Wake na Loweza za Wessley

by Kent James Migwi

eBook

$22.00 

Available on Compatible NOOK devices, the free NOOK App and in My Digital Library.
WANT A NOOK?  Explore Now

Related collections and offers

LEND ME® See Details

Overview

Mapenzi ni kama kio, analolifanya na kukupa mpenzi wako unaliona. Swala la penzi lazungusha wanaume wengi na sononeko kwenye ‘duara hili la maisha’, mapenzi yanarun dunia sio siri, ilhali sii kwa urongo kuwa unayempenda hakupendi mwenzio, labda kapenda mwingine kisirisiri. Kinacho sikitisha ni kuwa, baadaye – baada ya kumpa mpezio upendo wa dhati bila ‘kumdharalisha na mwanadada mwingine’ wala kutompa heshima visivyo kwenye aushi ya haya mapenzi, aja kukuoyesha mwishowe kwa ringo kuwa anampenda kwa dhati anayempenda ila sio wewe uliye dhania kapendwa tele kweli-kweli.Ajuae upendo ni yule aliyependwa na mmoja wakati wengi wote walimdharau, Akidharauliwa basi na huyo mmoja, mambo yote karibu huwa yaja kusambaratika kutoka pembe zote za maisha kisha yubaki yumo pekee yake duniani. Maulana pekee ndiye Aweza ‘kumwokoa heri’.

Product Details

BN ID: 2940167733435
Publisher: Kent James Migwi
Publication date: 09/27/2024
Sold by: Smashwords
Format: eBook
File size: 142 KB
Language: Swahili

About the Author

Born and raised in the quiet town of Murang'a, (formerly Townhall Town), Murang'a County, Kenya.
A light in-present-scenario author.
He prefers silence (even in reviews), and he opts for a 'background review' on his email for his books other than a review on the Smashwords' website.

A lover of nature alot, Tanzania and US' Alaska State being his most favorite of all world's regions.

From the B&N Reads Blog

Customer Reviews