Msichana Anne wa nyumba ya paa la kijani (Anne of Green Gables)

Msichana Anne wa nyumba ya paa la kijani (Anne of Green Gables)

by Lucy Maud Montgomery
     
 

Mama Rachel Lynde alikuwa anaishi pale barabara kuu ya Avonlea inayoingia katika kijimsitu kilichojaa miti ya aina yake ambayo hutoa dawa, na kuna kijito kinachokatiza ambacho chanzo chake kimeanzia katika msitu ulioko karibu na kwa mzee Cuthbert. Kijito hiki kirefu kilikuwa na maajabu hapo awali kilipokuwa kikianza ndani ya msitu huo. Kilikuwa na siri nzito ya bwawa… See more details below

Overview

Mama Rachel Lynde alikuwa anaishi pale barabara kuu ya Avonlea inayoingia katika kijimsitu kilichojaa miti ya aina yake ambayo hutoa dawa, na kuna kijito kinachokatiza ambacho chanzo chake kimeanzia katika msitu ulioko karibu na kwa mzee Cuthbert. Kijito hiki kirefu kilikuwa na maajabu hapo awali kilipokuwa kikianza ndani ya msitu huo. Kilikuwa na siri nzito ya bwawa na maporomoko ya maji makali lakini madogo, wakati kinajitokeza karibu na kichaka cha Mama Lynde kiligeuka kuwa mto ukitiririsha maji kwa adabu kama vile kilikuwa kinamwogopa Mama Rachel Lynde ukipita mlangoni kwake bila kelele yoyote. apate jibu kwa nini hakiko sawa.

Product Details

ISBN-13:
9781585716500
Publisher:
Kensington
Publication date:
03/06/2012
Sold by:
Barnes & Noble
Format:
NOOK Book
File size:
604 KB

Related Subjects

Customer Reviews

Average Review:

Write a Review

and post it to your social network

     

Most Helpful Customer Reviews

See all customer reviews >