Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi

Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi

Paperback

$20.00
Choose Expedited Shipping at checkout for guaranteed delivery by Thursday, January 23
MARKETPLACE
2 New & Used Starting at $15.29

Overview

Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana, kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji, kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo.

Kitabu hiki kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa usaidizi wa Mtandao wa Vetiver wenye habari nyingi katika http:// www.Vetiver.org na Mtandao huo unapaswa kuwa ndio marejeleo kwa wahusika kama vile waundaji sera, wanamipangilio mbalimbali, wahandisi, mafundi, wakulima wakubwa kwa wadogo na mtu yeyote yule anayetaka kutumia maarifa haya yaliyothibitishwa ya masuluhisho "kijani kibichi" kwa matatizo yanayoukabili ulimwengu katika karne hii ya ishirini na moja.

Product Details

ISBN-13: 9781440459979
Publisher: CreateSpace Publishing
Publication date: 11/06/2008
Pages: 102
Product dimensions: 8.00(w) x 10.00(h) x 0.26(d)

About the Author

Dkt. Paul Truong: Mkurugenzi wa Matandao wa Vetiver International, anasimamia Asia na eneo la Pasifiki vile vile ni mkurugenzi wa Veticon Consulting. Katika miaka kumi na nane iliyopita ameongoza utafiti na kukuza sana matumizi ya mfumo wa Vetiver kwa madhumuni ya kuyalinda mazingira.Uanzilishi wake wa uchunguzi wa nyasi Vetiver na vile mmea huu unavyostahimili hali mbovu za mazingira, uchafuzi wa madini mazito na udhibiti wowote kwa ujumla, umeweka alama teule ya VS (Mfumo wa Vetiver) katika matumizi ya kuondoa taka sumu, kurekebisha migodi na kusafisha majitaka, kwa ajili hiyo ametambuliwa na kutuzwa mara kadhaa na Banki ya Dunia na pia mfalme wa nchi ya Thailand.

Customer Reviews

Most Helpful Customer Reviews

See All Customer Reviews