Wazo la Kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Isiyohamishika: Uwakala wa Mali Isiyohamishika Ukirahishishwa: Uambatanishaji wa mali isiyohamishika: Uwakala mwepesi na rahisi wa Mali Isiyohamishika kwa kutumia jukwaa la kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Is

Wazo la Kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Isiyohamishika: Uwakala wa Mali Isiyohamishika Ukirahishishwa: Uambatanishaji wa mali isiyohamishika: Uwakala mwepesi na rahisi wa Mali Isiyohamishika kwa kutumia jukwaa la kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Is

by Matthias Fiedler

Paperback

$13.99
Members save with free shipping everyday! 
See details

Overview

Kitabu hiki kinaeleza wazo la kimageuzi la jukwaa (app) la uambatanishaji wa mali isiyohamishika duniani kote likipiga hesabu ya mauzo yanayowezekana (Dola Bilioni), ambalo limeshirikishwa kwenye programu ya wakala wa mali isiyohamishika likijumuisha tathmini ya mali isiyohamishika (uwezo wa mauzo ya Dola Trilioni).

Hii yamaanisha kwamba mali isiyohamishika za kukodesha na ya nyumba za kibiashara, ama ambayo mmiliki anaishi ndani au iliyokodishwa, yaweza kufanyiwa uwakala ifaafyo na katika njia yenye kukomboa mda. Hii ndiyo siku za baadaye za uwakala wenye ubunifu na kiutaalamu wa mali isiyohamishika kwa maajenti wote wa mali isiyohamishika na wamiliki wa mali. Uambatanishaji wa mali isiyohamishika hufanyika nusra katika mataifa yote na hata kote katika mataifa.

Badala ya "kumletea" mali mnunuzi au mkopeshaji, kukiwa na jukwaa la uambatanishaji wa mali isiyohamishika, wanunuzi wanaotaka au wakodeshaji wanaweza kuhitimishwa (saka profaili) na kisha wakaambatanishwa na kuunganisha na mali inayopeanwa na maajenti wa mali isiyohamishika.

Product Details

ISBN-13: 9783947184682
Publisher: CENTAURUS ONE LTD.
Publication date: 02/28/2017
Pages: 40
Product dimensions: 5.00(w) x 7.99(h) x 0.08(d)

Customer Reviews