Hofu
By E a Musiba
Paperback
$21.95
By E a Musiba
Premium Members save an extra 10% and all Members collect stamps to save with Rewards. 10 stamps = $5.Learn More
Select a store to view item availability.
Mauaji ya kikatili yanafanyika karibu na mji wa Uitenhage nchini Afrika Kusini siku ya kuwakumbuka wazalendo, waliouawa mjini Sharpeville mwaka 1960. Makaburu wanajawa na hofu kwa mauaji hayo, na wanawatilia shaka kuwa ni njama za kikundi cha watu weusi za kutaka kupindua mfumo wa Serikali yao ya Ubaguzi wa Rangi.
Uongozi wa Makaburu wa Afrika Kusini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Shirika la Ujajusi, Kamanda wa Jeshi la Kulfut na Mkuu wa Magaidi, wasaliti wa UNITA, wanakutana ili kukabili juh...


