TWENDE TUKAJITOLEE. Safari ya Mariam na Simba. Tujifunze Ukarimu na Kushirikiana.
Hardcover
$24.99
Premium Members save an extra 10% and all Members collect stamps to save with Rewards. 10 stamps = $5.Learn More
Select a store to view item availability.
Je, safari ya upendo inaweza kuchochewa na mwanasesere mmoja shujaa?
Twende Tukajitolee ni hadithi ya Mariam na mwanasesere wake jasiri, Simba. Wanaposafiri kwenda Tanzania kujifunza na kujitolea katika Kituo cha Jamii.
Wakiwa huko, wanakutana na marafiki wapya, wanaimba nyimbo za furaha, wanachora na kupaka rangi, wanajifunza majina ya wanyama pori, na kufurahia vyakula na mavazi ya Kitanzania.
Kupitia safari hii ya upendo na urafiki, watoto watajifunza umuhimu wa kushirikiana, kuchangia, ku...






















