Noah Henry: Hadithi ya Upinde wa Mvua
Paperback
$12.99
Premium Members save an extra 10% and all Members collect stamps to save with Rewards. 10 stamps = $5.Learn More
Select a store to view item availability.
Kama siku yoyote nyingine, Noah Henry anajitayarisha kwenda shuleni-lakini, wazazi wake wanamwambia kwamba shule yake imefungwa. Zaidi ya hilo, bustani ya wanyama pia imefungwa na hataweza kucheza na rafiki zake wanaoishi mle. Mambo hayabadiliki hata wakati Noah na kaka yake mdogo wananawisha mikono yao kama walivyoambiwa na walimu wao. Lakini, wakati Noah na familia yake wanapoondoka kwenda matembezini, anagundua ya kwamba rafiki zake walikuwa wamechora pinde za mvua na kuziweka kwenye mad...






















