Simu Ya Kuzimuni
Available on compatible , the free NOOK App, and in My Digital Library
NOOK App
Download NOOK app
NOOK Devices
NOOK eReaders
- NOOK GlowLight 4 Plus
- NOOK GlowLight 4e
- NOOK GlowLight 4
- NOOK GlowLight Plus 7.8"
- NOOK GlowLight 3
- NOOK GlowLight Plus 6"
NOOK Tablets
- NOOK 9" Lenovo Tablet
- NOOK 10" HD Lenovo Tablet
- NOOK Tablet 7" & 10.1"
- NOOK by Samsung Galaxy Tab 7.0 [Tab A and Tab 4]
- NOOK by Samsung [Tab 4 10.1, S2 & E]
Free NOOK Reading Apps
- NOOK for iOS
- NOOK for Android
BN.com website
Go to your Digital Library in My Account
Mengi yamasemwa na nyingi zikatolewa ahadi kwa vijana kuhusiana na mustakabali wao. Vijana wakasoma na kuhitimu, 'Someni vijana mtapata kazi nzuri sana!' Wakapiga kura kuwachagua viongozi watakaozitimiza ndoto zao, ila 'zao' zikawa ndoto zao viongozi! Wazazi, walimu na waelekezi wa vijana wayajua waingoja siku watakapoona kutimia kwa mazao ya bidii ya kuwaelimisha vijana wasomi. Nani atakayewanasua vijana kutokana na vyeti visivyozaa kazi kwenye utandu wa ufisadi, ujomba, uraibu wa mihadara...



